YAJUE VEMA MAAJABU YA KITUNGU SAUMU NA FAIDA ZAKE KATIKA KUPAMBANA NA MARADHI MWILINI (TUMIENI SANA VITUNGUU VYA ASILI na siyo vya kisasa) MAGONJWA YANAYOTIBIKA KUPITIA KITUNGUU SAUMU 1. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro) 2. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I 3. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine 4. Huzuia kuhara damu (Dysentery) 5. Huondoa Gesi tumboni 6. Hutibu msokoto wa tumbo 7. Hutibu Typhoid 8. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi 9. Hutibu mafua na malaria 10. Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB) 11. Hutibu kipindupindu 12. Hutibu upele 13. Huvunjavunja mawe katika figo 14. Hutibu mba kichwani 15 Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri niliyopenda zaidi katika kitunguu swaumu. 16. Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu 17. Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama k...
MBOCHI HERBAL It's a well recognized, Centre for treatment of all- Infectious disease Like Complicated TB,DIABETES, STD-AIDS,P.I.D,CANCER,INFERTILITY,hepatitis AND KIND OF FEVERS