Saratani ya Matiti (Breast Cancer) DR Herbalist Thobias Beda SARATANI (KANSA) MAONI! TUNA TAKA MTU ANASEMA ANA NDUGU AU YEYE AMEOZA KWA KIDONDA CHA KANSA KABISA Na tutamtibu kea siku tatu tu? Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum. Saratani ya matiti hutokea kwenye titi ambalo kwa kawaida lina sehemu ya kutengeneza maziwa ijulikanayo kama lobules na aina fulani ya mishipa inayounganisha hizi lobules na chuchu za titi. Sehemu kubwa iliyobakia ya matiti inajumuisha mafuta na tishu ambazo kitaalamu tunazoita connective and lymphatic tissue. Saratani ya matiti inayotokea kwenye lobules huitwa lobular carcinoma na ile inayotokea kwenye ducts huitwa ductal carcinoma. Baadhi ya saratani ya matiti zinaongeza ukubwa kutokana na kuwa na vishikizi aina ya receptors zinazojulikana kama estrogen receptors kwenye seli zao ambazo husababisha ukuaji wa saratani ya matiti. Kuna wanawake...
MBOCHI HERBAL It's a well recognized, Centre for treatment of all- Infectious disease Like Complicated TB,DIABETES, STD-AIDS,P.I.D,CANCER,INFERTILITY,hepatitis AND KIND OF FEVERS