Ruka hadi kwenye maudhui makuu

KITUNGUU MAJI KINA UWEZO WA KUTIBU MARADHI 40 SUGU


YAJUE MAAJABU YA KITUNGUU MAJI NA TIBA ZAKE KWA KUTIBU MARADHI 40 KWENYE MWILI WA BINADAMU TENA YALE SUGU KABISA


Long-dormant disease becomes most dominant foliar disease in New ...


JE WAJUA HILI KUWA KITUNGUU MAJI KINA TIBU MARADHI 40?


Kitunguu maji ni aina ya tunguu kama vitunguu vingine, kwa mfano kitunguu saumu.

Kitunguu maji kitiba nacho kina uwezo wa kutibu maradhi arobaini (40), miongoni mwa maradhi hayo ni joto la mwili kwa ujumla na mbegu za uzazi zilizokuwa za moto.
Greentree.

1.Kitunguu (Allium cepa) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa kila mahali pa dunia. Spishi A

katika biolojia ni jina la kutaja kundi la wanyama au mimea wa aina moja. Spishi ni kitengo muhimu katika uainishaji wa kisayansi.

Kwa kuhesabiwa katika spishi ileile haitoshi kama viumbe vinafanana sana, ni lazima waweze kuzaliana na kuwa na watoto ambao wanaweza kuzaa tena.

Kwa mfano, farasi na punda ni spishi mbili tofauti zinazoweza kuzaliana lakini watoto wao, wanaoitwa baghala, hawazai tena. Mbwa wote ni spishi moja, hata kama wanaonekana na maumbile tofauti kutokana na historia ya ufugaji wa kuteua sifa kadhaa tu kwa kuzaana. Lakini hata mbwa mkubwa kabisa anaweza kuzaliana na mbwa mdogo na watoto wao wanazaa tena.

Spishi za karibu hupangwa pamoja katika jenasi.

Mfano: mbwa, mbweha, mbweha wa Ethiopia na koyote wa Marekani wote ni spishi mbalimbali za jenasi inayoitwa "Canis".

2. cepa haitokei porini. Spishi za pori yenye nasaba ya karibu sana ni A. vavilovii na A. asarense


KITUNGUU/TUNGUU

Tunguu ni sehemu ya shina la mimea fulani ilio na majani manene kwa umbo wa gamba yanayohifadhi chakula. Mifano ni kitunguu, kitunguu saumu na matunguu ya mimea mingine ya ngeli Monocots. Tunguu ni tofauti na kiazi ambacho ni sehemu ya mzizi.


MAGONJWA YANAYO TIBIWA NA KITUNGUU MAJI

Kitunguu maji kinatiba ya matumizi mbalimbali. Kitunguu maji kinatibu maradhi arobaini (40). Maradhi hayo kwa uchache ni kama yafuatayo

1. shinikizo la damu
,2. baridi yabisi,
3. kuondoa sumu mwilini,
4. kisonono,
5. minyoo,
6. bawasiri,
7. maradhi ya mgongo,
8.kichocho,
9. malaria,
10.gesi kujaa
11.kulinda kinga mwili
12.kuimarisha cells za mwili
13.kurutubisha ngozi
14.kuuwa minyoo sugu
15. homa za matumbo na kadhalika.

Kwa mfano, kwa maradhi ya tumbo unatumia Juisi ya kitunguu maji kwa kunywaa au kutafuna kwa muda wa siku 11-15; kwa uwezo wa Mungu unaweza kuondokana na tatizo hilo

MBOCHI HERBAL LIFE
Http://mbochiherbal.blogspot.com
mbochiherballife646@gmail.com
mob; +255757349219

WE TREAT BUT GOD CURE



Image may contain: plant, nature and outdoor



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

VIAGRA YA ASILI

  Pata Kijiko zaidi katika malisho yako. MTINDO WA MAISHA Vyakula 10 ambavyo vinaweza kutenda kama Viagra asili Ikiwa unakuwa na shida chumbani, au unatafuta tu viungo, vyakula hivi hufanya kazi kama aphrodisiac na kuchukua nafasi ya hitaji la Viagra - ambayo, kwa matumaini, hautalazimika kutumia kwa muda .  Ongeza hizi wakati wa chakula cha jioni, na itahakikisha kuwa vitu vinakaa vya kupendeza ukimaliza dessert na bado unatamani kitu kitamu .. Hatukulaumu pia ikiwa unataka kula vyakula hivi kwa kuzimu tu, kwa sababu mara nyingi, chakula ni   bora zaidi kuliko ngono  . 1. Celery Picha na Herbalist Thobias Beda Celery inaweza kuonja kama maji na kuwa nyembamba sana, lakini ina arginine, ambayo  hupanua mishipa ya damu  kwa njia sawa na Viagra.  Pia ina steroids mbili ambazo husaidia kuboresha harufu ya mwili wetu, na kutufanya tuvutie wengine.  Chop mabua machache na uyatie kwenye  hummus hii  . 2. Tikiti maji Picha na Herbalist Tho...

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...