Menu MAGONJWA YA MOYO YA KUZALIWA (CONGENITAL HEART DISEASES) Uko hapa: Mwanzo / WANAWAKE & WATOTO / Magonjwa / Afya & Matibabu Magonjwa ya Moyo ya Kuzaliwa (Congenital Heart Diseases) DR.Herbalist Thobias Beda AFYA & MATIBABU MAONI! Muundo ya moyo na mishipa ya damu ni mojawapo ya vinavyooathirika katika magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo. Vijusi(fetuses) kati ya 8 hadi 10 huathirika kwa kila 1000. Magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo huweza kutoa dalili mara tu baada ya kuzaliwa, utotoni na wakati mwingine husubiri mpaka ukubwani. Magonjwa ya Moyo ya Kuzaliwa husababishwa na nini? Kwa wengi sababu huwa haijulikani. Ila huwa kuna vitu hatarishi ambavyo hupelekea kuongezeka kwa uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo, vitu hivyo hatarishi ni: Matatizo ya kijenetekia utotoni kama Downs syndrome, Turner’s syndrome, Marfan syndrome, Matumizi ya dawa ya kutibu chunusi (acne) aina ...
Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID) DR.Herbalist Thobias Beda MAGONJWA & UZAZI WANAWAKE MAONI! mbochi herbal life 24 F Share Tweet Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya uzazi (cervix) hali ambayo hujulikana kama cervicitis, nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa endometritis, na mirija ya uzazi (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu kama salpingitis. PID husababishwa na nini? Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya Neisseria Gonorrhoeae pamoja na Chlamydia trachomatis ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama. Je mwanamke huambukizwaje PID? Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa PID. Njia hizo ni pamoja na Kufanya ngono isiyo salama Ma...