Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2020

AINA 18 ZA MMEA WA KIVUMBASI NA FAIDA KWA MLAJI

AINA 18 ZA MMEA WA KIVUMBASI DUNIANI ZINAZO TAMBULIKA MPAKA SASA MMEA Aina ya kivumbasi [BASIL] Ocimum basilicum Basil / Scientific names Basil, ( Ocimum basilicum ) , also called sweet basil , annual herb of the mint family (Lamiaceae), grown for its aromatic leaves. MMEA HUU UNATIBU MARADHI 10 KWA HUAKIKA KABISA Anti-inflammatory Antioxidant Cancer-fighter Pain-reducer (analgesic) Fever-reducer (antipyretic) Diabetes -preventer Liver-protector (hepatoprotective) Blood vessel-protector Anti-stress solution Immune-booster 1.sweet basil   1.Sweet Basil . ... 2.Genovese Basil . ... 3.Thai Basil . ... 4.Napoletano Basil . ... 5.Dark Opal Basil . ... 6.Christmas Basil . ... 7.Lemon Basil . ...    8.1Lettuce Leaf Basil .   9.Lime Basil 10.cinnamon basil  111. holy basil 12. cardinal basil 13. Green basil 14. Greek basi 15. Pistous basil 16. Spicy saber {serrata} 17. African...

JITIBU UKIMWI HAPO HAPO NYUMBANI

Kuna tofauti gani kati ya VVU na UKIMWI? VVU     (Virusi vya Ukimwi) ni vimelea vinavyoshambulia kinga ya mwili UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini) ni mchanganyiko wa magonjwa nyemelezi yanayotokana na udhoofika kwa kinga ya mwili unakosababishwa na mashambulizi ya VVU. 2. VVU huambukizwaje? VVU huambukizwa kwa njia ya:- - Ngono isiyo salama - Kuchangia vifaa vyenye ncha kali na mtu mwenye VVU - Kuongezewa damu isiyo salama - Toka kwa mama mwenye maambukizi ya VVU kwenda kwa mtoto - Mila potufu 3. Je, mtu kiambukizwa VVU atapitia hatua gani hadi kuwa mgonjwa? Hatua za VVU/UKIMWI . VVU huingia kwenye mwili wa mtu kwa kuambukizwa 2. Kipindi cha mpito ambapo VVU huwa ndani ya mwili wa mtu lakini havionekani katika kipimo (miezi 0-3 ya mwanzo)

TIBA YA UGONJWA WA MAPAFU {SELICOSIS}

UGONJWA WA MAPAFU { SELICOSIS } NAMNA ULIVYO WA HATARI DUNIANI NA UNA MALIZA WATU WA WINGI   www.mbochiherbalife.co.tz ugonjwa huu wa selicosis kikawaida huwa unaenea kwa mda mrefu kwa miaka 10-20 kwa makadirio ingawa makadirio rasmi ni miaka 5-10 ya kufichuliwa kwa ugonjwa huu wa selicosis,kwa kila mchimbaji huwa ushambuliwa kwa mda tu pindi waanzapo kazi kwa miezi michache tu ya sumu zipulizwazo migodini pia miamba inayopasuliwa,hii uwa aimfanyi mtu kugundua mapema kuwa ana tatizo ila mapema tu anapo kuwa nje ya kazi ndipo tatizo huanza kugundulika kuwa tatizo limesha shambulia ndani kwa mda mrefu         na hii wengi uanza kuisi MAUMIVU kwenye KIFUA , UPUMUAJI , KUTAPIKA DAMU pia kuisi uchovua na mara kadha wafanyapo vipimo uonekana kuwa ni Typhoid  hivyo inashauriwa mapema kucheki AFYA /vipimo mara kwa mara SELICOSIS NI NINI. SELICOSIS NI UGONJWA   wa mapafu wa ndani unaosababishwa na kupumua kwa vipande vidogo vya silika,mad...

UFAHAMU UGONJWA WA KISUKARI CHA FIGO

       Ugonjwa wa Kisukari wa Figo       Ugonjwa wa figo unaoletwa na kisukari Idadi ya wagonjwa wa kisukari(diabetes)inaongezeka kwa kasi mno,ulimwenguni kote.Tatizo kuu ni ongezeko la ugonjwa wa figo unaosababishwa na ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa wa figo unaoletwa na kisukari ni moja ya matokeo mabaya sana ya kisukari na huleta vifo vingi. Ugonjwa wa figo wa kisukari ni upi? vya figo kuharibika.Vinapoharibika, protini hupotea kwenye mkojo. Hali hii nayo husababisha shinikizo la damu (hypertension) , mwili kuvimba na figo kuanza kudhoofika. Mwisho figo hushindwa kufanya kazi (ESKD). Huu ndio ugonjwa wa figo wa kisukari (Diabetic nephropathy). Kwa nini ni muhimu kujua kuhusu ugonjwa wa figo unaotokana na kisukari? Ugonjwa wa kisukari unaongezeka kwa kasi kubwa mno duniani kote. Ugonjwa huu ndio chanzo kikuu cha ugonjwa sugu wa figo. Wagonjwa kama asilimia arobaini hadi hamsini walio katika kipindi cha mwisho cha ugonjwa w...