TATIZO LA UKE KUTOA ARUFU MBAYA Wapendwa leo najibu swali la mpendwa @.... miongoni mwa wanao soma makala za MBOCHI HERBAL LIFE-24 AKIULIZA JE? NI kwa nini uke unatoa arufu mbaya wakati wa kushiriki Tendo la kujamiana Na hii utokea pale tu unapo furaiya uumbaji ndipo panatoa arufu chafu Leo ningependa tuzungumzie tatizo la uke kutoa harufu mbaya, kwani ni tatizo ambalo linawaathiri dada zetu sana, na huwafanya wasiwe na uhuru wanapokuwa faragha na wapenzi wao, na kuwafanya wasiwe na raha, na kupoteza kujiamini. Tatizo la kutoa harufu ukeni husababishwa na sababu kadhaa Kama ifuatavyo. 1.Bacterial vaginosis Kwa kawaida, uke huwa na bakteria ambao huitwa lactobacilli, bakteria hawa ni wazuri na hawamletei shida yeyote mwanamke, bakteria hawa huulinda uke usishambuliwe na bakteria wabaya ambao ndio husababisha magonjwa. Kinachowawezesha bakteria hawa waweze kukaa kwenye uke ni hali ya utindikali wa uke(vaginal acidity); hali hii ya utindikali wa uke inapobadilika na kupu...
MBOCHI HERBAL It's a well recognized, Centre for treatment of all- Infectious disease Like Complicated TB,DIABETES, STD-AIDS,P.I.D,CANCER,INFERTILITY,hepatitis AND KIND OF FEVERS