Ruka hadi kwenye maudhui makuu

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28


WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA



Outdoor Ginger Requirements: Guide To Growing Ginger In The Garden


Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi.

Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula.

TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA


Homemade Ginger Juice - Immaculate Bites

Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika

Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis)


KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA


Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi:

Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba:

1. kuondoa sumu mwilini

Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayoweza kudhuru muundo wa seli au kiumbehai.

Inaweza kunyweka au kuliwa , au kufyonzwa kupitia ngozi. Uharibifu kawaida hufanyika na mmenyuko wa kemikali. Athari ya sumu hutofautiana na kiasi ambacho kilichukuliwa mwilini. Dutu ambazo ni sumu huweza kusababisha kifo .

Katika dawa na zoolojia, sumu ni matokeo ya mchakato wa kibiolojia. Vitu ambavyo viumbe wanatumia kuharibu aina nyingine. Viumbe fulani hutumia vimelea kwa uwindaji, au kama ulinzi. Kama kiumbe ni mwenyesumu, kama vile uyoga , ni hatari kula. Ikiwa ni kiumbe mwenyesumu, kama nyoka au nyuki , huuma au kuumiza. Kwa baadhi, wanadamu wameanzisha Dawa za viumbe wenye sumu zilizo bora.

Mara nyingi ni wingi tu wa dutu inayofanya tofauti. Kunywa pombe huweza kusababisha tabia ya ukatili, matatizo ya hotuba, na aina tofauti za kupoteza kumbukumbu. Athari hii inaitwa uchukuaji wa sumu. Watu wanao kunywa hata zaidi wanaweza kuwa mshtuko. Wakati huo huo, pombe inaweza kutumika kama dawa ya kuuwa viini.
Sumu juu ya msumari wa nyigu


KUNA AINA NYINGINE ZA VITU HATARI


Kasinojeni (sumu zinazosababisha kansa)
Mutajeni (sumu zinazosababisha mabadiliko ya chembe za urithi)
Teratojeni (sumu zinazosababisha magonjwa ya kuzaliwa )


AINA ZA SUMU


1. Madini (asenia ou zebaki)
2. Mboga
3. Mnyama (sumu ya nyoka, nyuki na konyeza)

.

2. kuua bakteria wa aina nyingi mwilini, hata salmonella,
3. kuondoa uvimbe mwilini,
4. kuondoa msongamano mapafuni.

Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa pamoja na mayai yake

1. kuondoa maumivu ya koo,
2. kuua virusi vya homa,
3. kuondoa maumivu mbalimbali mwilini,
4. kuondoa homa, hata homa ya baridi (chills),
5. kutibu saratani mbalimbali, pamoja na ya tezi dume,
6. kuzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho,
7. kuongeza msukumo wa damu,
8. kusaidia kuzuia shambulio la moyo,
9. kuzuia damu kuganda,
10. kushusha kolesto,
11. kusafisha damu,
12. kusaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa,
13. kutibu shinikizo la juu la damu,
14 kusafisha utumbo mpana,
15. kupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma,
16. kuondoa kwa urahisi gesi tumboni,
17. kusaidia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,
18 kuzuia kutapika,
19. kusaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu,
20. kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa muda mrefu ama wa kusimama au wa kukaa,
21. kuzuia kuharisha,
22. kusaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu,
23. kutibu tatizo la miguu kuwaka moto,
24. kutibu homa ya kichwa,
25. kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi,
26. kutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito,
27. kuimarisha afya ya figo,
28. kusaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu ya mionzi




MBOCHI HERBAL LIFE
Http://mbochiherbal.blogspot.com
mbochiherballife646@gmail.com
mob; +255757349219

WE TREAT BUT GOD CURE

Image may contain: food





Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

TIBA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Shinikizo la juu la damu Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu , HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya. Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi. Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mish...