Ruka hadi kwenye maudhui makuu

TIBA YA UGONJWA WA MAPAFU {SELICOSIS}


UGONJWA WA MAPAFU {SELICOSIS} NAMNA ULIVYO WA HATARI DUNIANI NA UNA MALIZA WATU WA WINGI
 The deadly lung disease silicosis is on the rise in Victoria ...www.mbochiherbalife.co.tz




ugonjwa huu wa selicosis kikawaida huwa unaenea kwa mda mrefu kwa miaka 10-20 kwa makadirio ingawa makadirio rasmi ni miaka 5-10 ya kufichuliwa kwa ugonjwa huu wa selicosis,kwa kila mchimbaji huwa ushambuliwa kwa mda tu pindi waanzapo kazi kwa miezi michache tu ya sumu zipulizwazo migodini pia miamba inayopasuliwa,hii uwa aimfanyi mtu kugundua mapema kuwa ana tatizo ila mapema tu anapo kuwa nje ya kazi ndipo tatizo huanza kugundulika kuwa tatizo limesha shambulia ndani kwa mda mrefu

        na hii wengi uanza kuisi MAUMIVU kwenye KIFUA,UPUMUAJI,KUTAPIKA DAMU pia kuisi uchovua na mara kadha wafanyapo vipimo uonekana kuwa ni Typhoid  hivyo inashauriwa mapema kucheki AFYA/vipimo mara kwa mara







SELICOSIS NI NINI.

SELICOSIS NI UGONJWA  wa mapafu wa ndani unaosababishwa na kupumua kwa vipande vidogo vya silika,madini ya kawaida yanayo patikana katika aina nyingi za miamba na udongo,baada ya muda, yatokanayo na chembe za silika husababisha kudorora kwa mapafu kwa muda mrefu, inayoitwa pulmonary fibrosisi

 NI ZIPI DALILI ZA UGONJWA WA MAPAFU WA SELICOSIS


  • KIKOHOZI
  • HOMA
  • KUPOTEZA HAMU YA KULA
  • MAUMIVU KATIKA KIFUA
  • KUPOTEZA UZITO
  • UPUNGUFU WA PUMZI
  • UDHAIFU WA MWILI
  • JASHO WAKATI WA USIKU

NI WATU WA NAMNA GANI UPATWA NA SELICOSIS

  • Wachimba mawe 
  • wanaopasua kokoto
  • wachimba madini migodini
  • wanaochekecha aina za michanga
  • wanao chonga miamba 
  • wanaopiga mabomu migodini/kutumia aina za sumu 
TIBA GANI YA ASILI JUU YA UGONJWA HUU WA SELICOSIS

watafiti wengi duniani wanao fanya tafiti za tiba/maradhi wengi usema kuwa akuna tiba katika hili,na apa kumekuwa na mkanganyiko juu ya masuala aya ya tiba.kwani wako wasemao tiba ipo na wengine usema akauna tiba
    #MBOCHIHERBALLIFE {HERBAL MEDICINE}
tumefanya tafiti yenye uhakika namna ya kutibu na kufungua mapafu na kuwafanya watu waliopatwa na maradhi ya Silika {SILICOSIS} kupata tiba na kuwa na nafuu katika suala hili linalo watesa watu wengi sana,mbochi tunna tumia tiba za asili kwa kila maradhi sugu kutibu na dawa lishe,karibu tukupe ushauri pia tiba

IPO TIBA 88% KWA WALIOATHIRIKA NA TATIZO LA MAPAFU {SELICOSIS}

4 Ways to Diagnose Silicosis - wikiHow

#MBOCHIHERBALLIFE
     WE treat but GOD CURE

HERBA MEDICINE                                                            Email; mbochiherballife646@gmail.com 
                                                                                           Website;mbochiherbalife.co.tz 
                                                                                       
DAR ES SLAAM
Mob; +255757349219/0685217438                                                                      

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

VIAGRA YA ASILI

  Pata Kijiko zaidi katika malisho yako. MTINDO WA MAISHA Vyakula 10 ambavyo vinaweza kutenda kama Viagra asili Ikiwa unakuwa na shida chumbani, au unatafuta tu viungo, vyakula hivi hufanya kazi kama aphrodisiac na kuchukua nafasi ya hitaji la Viagra - ambayo, kwa matumaini, hautalazimika kutumia kwa muda .  Ongeza hizi wakati wa chakula cha jioni, na itahakikisha kuwa vitu vinakaa vya kupendeza ukimaliza dessert na bado unatamani kitu kitamu .. Hatukulaumu pia ikiwa unataka kula vyakula hivi kwa kuzimu tu, kwa sababu mara nyingi, chakula ni   bora zaidi kuliko ngono  . 1. Celery Picha na Herbalist Thobias Beda Celery inaweza kuonja kama maji na kuwa nyembamba sana, lakini ina arginine, ambayo  hupanua mishipa ya damu  kwa njia sawa na Viagra.  Pia ina steroids mbili ambazo husaidia kuboresha harufu ya mwili wetu, na kutufanya tuvutie wengine.  Chop mabua machache na uyatie kwenye  hummus hii  . 2. Tikiti maji Picha na Herbalist Tho...

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...