Kuna tofauti gani kati ya VVU na UKIMWI?VVU

(Virusi vya Ukimwi) ni vimelea vinavyoshambulia kinga ya mwili UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini) ni mchanganyiko wa magonjwa nyemelezi yanayotokana na udhoofika kwa kinga ya mwili unakosababishwa na mashambulizi ya VVU. 2.VVU huambukizwaje?VVU huambukizwa kwa njia ya:- - Ngono isiyo salama- Kuchangia vifaa vyenye ncha kali na mtu mwenye VVU- Kuongezewa damu isiyo salama- Toka kwa mama mwenye maambukizi ya VVU kwenda kwa mtoto - Mila potufu3.Je, mtu kiambukizwa VVU atapitia hatua gani hadi kuwa mgonjwa?Hatua za VVU/UKIMWI . VVU huingia kwenye mwili wa mtu kwa kuambukizwa2. Kipindi cha mpito ambapo VVU huwa ndani ya mwili wa mtu lakini havionekani katika kipimo (miezi 0-3 ya mwanzo)

Maoni