Ruka hadi kwenye maudhui makuu

NAMNA YA KUIMARISHA MFUMO WA KINGA MWILI CD4



So who is immune to Covid-19, and how can we tell?

Kingamwili inahusisha vijenzi mahususi na visivyo mahususi. Vijenzi visivyo mahususi hufanya kazi ama kama vizuizi au kutoa visababishi magonjwa mbalimbali bila kujali umahususi wa antijeni. Vijenzi vingine vya mfumo wa kinga hujitohoa kwa kila ugonjwa vinavyokabiliana nao na vinaweza kuzalisha kinga maalum kwa visababishi magonjwa.
Kinga tohozi mara nyingi hugawanywa katika aina mbili kuu kulingana na jinsi kinga ilivyoletwa. Kinga inayopatikana kimaumbile hutokea kupitia mgusano na kikolezo kinachosababisha ugonjwa, wakati ambapo mgusano haukuwa makusudi, lakini kinga inayopatikana kwa kughushi hutokea tu kwa vitendo vya makusudi kama vile chanjo, Kinga zote mbili zinaweza kugawanywa zaidi kutegemea na kama kinga imesababishwa katika kimelea au ilihamishwa kimyakimya kutoka kwa kimelea mwenye kingamaradhi.
Kinga tulivu inapatikana kwa njia ya uhamisho wa kingamwili au seli za T zilizoamilishwa kutoka kwa kimelea mwenye kingamaradhi, na inadumu muda mfupi - kwa kawaida miezi michache tu - lakini kinga tendi husababishwa katika kimelea mwenyewe na antijeni, na hudumu muda mrefu zaidi, wakati mwingine kwa maisha yote. Mchoro wa hapa chini ni muhtasari wa migawanyiko hii ya kinga.
Mgawanyiko zaidi wa kinga tohozi unajulikana kwa seli husika; kinga katika ugiligili ni kipengele cha kinga kinachoibuliwa na kingamwili zilizonyunyizwa, wakati ambapo ulinzi unaotolewa na kinga iliyoibuliwa na seli inahusisha limfosaiti-T pekee. Kinga katika ugiligili iko hai wakati kiumbehai kinazalisha kingamwili zake mwenyewe, na tulivu wakati kingamwili zinahamishwa kati ya watu binafsi. Vile vile, kinga iliyoibuliwa na seli ni hai wakati seli-T za kiumbehai zimechangamshwa na tulivu wakati seli T zinatoka kwa kiumbehai mwingine.



Boost your immune system with these foods | MDLinx

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...

TIBA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Shinikizo la juu la damu Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu , HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya. Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi. Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mish...