Ruka hadi kwenye maudhui makuu

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Mara nyingi wanaume wengi wamekuwa katika mifumo tofauti ya ukuaji wao hasa katika maandalizi ya kuingia katika suala la mahusiano. hii hupelekea wanaume wengi kuingia katika suala la kujichua ambalo ndilo tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume ingawa si asilimia kubwa kwa uthibitisho kutoka kwa wanasayansi wote duniani.


Dawa ya fimbo ya Ujana

Mpaka kufikia sasa hakuna jawabu sahihi la kuhusiana na kujichua kuwa kuna punguza nguvu za kiume kwa asilimia kubwa kutokana na mkanganyiko wa wanasayansi Duniani. Lakini kwa matokeo ya wanaume wengi wanaolalamika kutofika kileleni kwa kijihisi maumivu katikati ya tendo au kupoteza hamu ya kuendelea na tendo wakati wa tendo inajihidhirisha wazi kuwa kujichua kunapunguza nguvu za kiume.

NI JAMBO GANI UNATAKIWWA KUFANYA ENDAPO UTAHISI DALILI HIZI

  • KUTOKUWA NA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;


3850378299001_5085141251001_5085119722001-vs
  1. Kuwahi kufika kileleni
  2. Kukosa hamu ya mapenzi
  3. Kushindwa kurudia tendo la ndoa
  4. Uume kusimama kwa ulegevu au kushindwa kusimamisha
  5. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
  6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
  7. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
  8. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
  1. Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
  2. Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
  3. Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine
  4. Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi
  5. Balansi uzito wako
  6. Usivute sigara
  7. Punguza au acha kunywa pombe
  8. Punguza mawazo
  9. Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
  10. Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9
  11. Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi
  12. Kunywa maji ya kutosha
TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME


Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda mrefu kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.

Tuna dawa ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni ya asili{ FIMBO YA UJANA} isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda  kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendekea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.
Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau mno mimea



MBOCHI HERBAL LIFE
dar es salaam,mbande

mbochiherballife646@gmail.com
+255757349219/0685217438










Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...

TIBA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Shinikizo la juu la damu Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu , HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya. Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi. Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mish...