Ruka hadi kwenye maudhui makuu

UNA UFAHAMU JUU YA CD4 ZINAVYO WEZA KUFANYA KAZI MWILINI

UNA UFAHAMU JUU YA CD4 ZINAVYO WEZA KUFANYA KAZI MWILINI




10 Amazing Facts About Your Immune System | Everyday Health





Nimekuwaga na changa moto sana juu ya hili swala watu wengi wakitaka kujua juu ya CD4 & HIV/AIDs na nimekuwa nikiwapa ushauri na namna ya kufanya kinga mwili hii kuwa juu na salama kiafya pasipo kukumbwa na aina yeyote ya maradhi nyemelezi

kama mwaka sasa nimekuwa na makala tofauti tofauti zenye kulenga maambukizi ya HIV&AIDs pia CD4 ni nini na hii ikawa inazua maswali mengi sana watu kutaka kujua kwa kina
ni mwaka sasa umepita nimewai kueleza kuhusu hatua za mtu kuwa na Ukimwi na kutaja CD4, wengi wamenipigia simu kutaka nifafanue hicho ni nini kitaalam.CD ni kifupi cha maneno ya kitaalam, yaani Cluster of Differentiation.

Hii ni aina mojawapo ya kiasili kilichoundwa kwa protini na mafuta (yaani glycoprotein) ambacho kinapatikana juu ya uso wa seli nyeupe za damu zijulikanazo kama Thelper Cells, Regulatory T-Cells, Monocytes, Macrophages na Dendritic Cells ambazo kazi yake kubwa ni kupambana na maradhi mbalimbali.

Zimepewa jina la CD4 kuonesha kuwa ni aina ya nne katika kundi la viasili vya CD. Kazi zake kubwa ni kusaidia baadhi ya chembe nyeupe za damu kupambana na wadudu waenezao maradhi mbambali katika mwili wa binadamu.

CD4 husaidia kukuza na kupitisha taarifa kutoka kwenye vipokeo vilivyopo kwenye T-Cells. Taarifa hii huzitahadharisha chembechembe nyeupe za damu kujiandaa kupambana na vidudu vilivyovamia mwili kwa kutumia njia mbalimbali. Aina hii ya chembechembe nyeupe za damu inayopambana na uvamizi wa mwili huitwa T-Lymphocytes.

CD4 ni aina ya protini inayopatikana katika ukuta wa seli zinazojulikana kama T-Helper Cells (pia hujulikana kama CD + Lymphocyte).
Virusi vya Ukimwi (VVU) hushambulia na kujishikiza kwenye protini hii kabla ya kupata uwezo wa kuathiri seli za T-Helper.

Seli hizi za T-Helper ndizo hulinda mwili dhidi ya maambukizi mbalimbali na hivyo kuchangia katika kustawi kwa kinga ya mwili.
Kupungua kwa seli hizi mwilini husababisha kupungua kwa kinga ya mwili na hivyo mtu kupata magonjwa nyemelezi.

Baadhi ya magonjwa nyemelezi yanayoweza kumpata mtu mwenye ugonjwa (VVU/Ukimwi) ni pamoja na magonjwa ya mfumo wa kupumua kama vile ugonjwa wa Homa ya Mapafu (Pneumocyctic Carinii Pneumonia), Kifua Kikuu (TB) na Saratani.

Mengine ni magonjwa ya mfumo wa chakula kama vile Cryptosporidiosis, Candida (fangasi), Cytomegolavirus na kadhalika.

Lakini pia mgonjwa akipungukiwa CD4 huweza kupata magonjwa ya mfumo wa fahamu yaani Central/Peripheral Nervous System kama vile Cytomegolavirus, Toxoplasmosis, Cryptococcosis, Mkanda wa Jeshi na Saratani.
Mengine ni magonjwa mbalimbali ya ngozi (Skin Diseases) hasa Saratani ya Ngozi.


VIPIMO VIFANYIKAVYO


Immunology Diagnostic Tests | Immunopaedia


Kutokana na uhaba wa vifaa vya kupimia kiwango cha seli aina ya CD4 katika nchi mbalimbali, Shirika la Afya Duniani (WHO), limetengeza mwongozo mwingine ambao utamsaidia mhudumu wa afya kutambua kama mgonjwa amefikia hatua ya ugonjwa wa Ukimwi na anastahili kuanza tiba au la.
Itaendelea wiki ijayo.

Immune (Lymphatic) System and Diabetes - Components, White Blood CellsIMMUNITX LAB TEST. RESTORE & BALANCE YOUR IMMUNE SYSTEM | BEWELLMED



JE KUNA DAWA ZA ASILI ZENYE  KUPANDISHA CD4 MOJA KWA MOJA


Jibu ni ndiyo ipo dawa yenye 99% kwa kuipandisha CD4 cells na mwili ukawa sawa na ikamfanya muathirika kuepukana na maradhi nyemelezi yote



Nutrition and HIV | The Ontario HIV Treatment Network




DAWA


1.Mlonge VJK 5

2.Giligilani

3.Kabeji 1/3

4.Maharagwe ya kkijani 1/3

5.Hoho ya njano 3

6.Uwatu VJK 5

7.Habati soda VJK 5

8.Mjafali VJK 5

9.Mbegu ya para chichi 3


MAANDALIZI SAHII YA HUO MCHANGANYIKO  APO JUU


Akikisha unapo kusanya dawa zako hapo kwa pamoja na kabla ya kuziandaa kama zitakuwa kwenye mfumo wa powder na mboga mboga basi miongoni kwa hizo mboga mboga osha na kusaga kwa maji moja,kisha saga mboga mboga hizo kama juisi na baada ya hapo utaweka dawa zako kwa vipimo kama ilivyo hapo


MATUMIZI YA DAWA

dawa hii niya siku 15 tu ijapo kuwa waweza tumia ata mwezi mmoja

tumia glasi 1 kwa asubui kabla ya kula na glasi ya pili 2 jioni kabla ya kula


NB;

Mmbo muimu ya kuzingatia ni ulaji wa nyama nyekundu

pia ulaji wa pilipili nk.


kwa ushauri juu ya afya yako na katika maradhi aya namna ya kuwa na afya njema wasiliana nasi kwa

barua pepe;

mbochiherballife646@gmail.com

Mob; 0757349219

WE TREAT BUT GOD CURE



Once-Daily Pill Approved to Treat HIV - The Health Cast


pia mchanganyiko wa mboga mboga na matunda uimarisha mwili vema

ZINGATIA YAKO AFYA......









Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...

TIBA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Shinikizo la juu la damu Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu , HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya. Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi. Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mish...