Ruka hadi kwenye maudhui makuu

UGONJWA WA KANSA [SARATANI] IKO NA DAWA KWA 99%

UGONJWA WA KANSA NA TIBA ZAKE KWA TIBA MBADALA


TAMBUA VEMA JUU YA UGONJWA WA KANSA



Koncept TV on Twitter: "#KonceptAfya: Kansa/saratani siyo ugonjwa ...


Kansa ni ugonjwa unaotokea baada ya kuharibika pia kubadilika kwa seli na kuanza kuzaliana katika mili nazo huitwa seli za kansa, Kansa hutokea kwa binadamu, wanyama na viumbe hai wengine. Seli huharibika,hurekebishika au kufa, ila seli zisipokufa au zisipo rekebishika huwa seli zisizo za kikawaida (hazihitajiki mwilini) ndipo huanza kuzaliana na kuwa seli za kansa. Seli za kansa hutumia seli za kawaida kuzaliana, kusafiri kwa kutumia damu na lymph. Seli za kansa huzaliana na kuhama tokea upande mmoja wa mwili kwenda mwingine hii hali huitwa metastasis

Kansa ni ugonjwa unaouwa kwa kiasi kikubwa duniani, idadi ya watu millioni 8.2 walikufa (Ikiwa ni asilimia 22% ya vifo vyote; Hizi ni taarifa kutoka Shirika la Afya duniani (World Health Organization,2016)). Na ikikadiriwa kufika mwaka 2030 idadi ya vifo kuwa million 13.1. Aina ya kansa zinazoongoza kuua kila mwaka ni pamoja na kansa ya mapafu, kansa ya tumbo, kansa ya ini, kansa ya utumbo, kansa ya matiti


AINA ZA KANSA ZIFUATAZO NA TIBA JUU YA UGONJWA



Dr. Joachim Mabula on Twitter: "Kansa siyo ugonjwa mmoja tu. Kuna ...



#PATA TIBA YA KANSA

#JUA SABABU ZA KANSA

#JUA NI AINA GANI YA TIBA YA KUKUPONYA {KANSA SIYO UGONJWA UNATIBIKA KWA 99%}

#DALILI ZA MAGONJWAA YA KASNA


Kuna aina zaidi ya 100 za kansa,

Aina za kansa na idadi ya Vifo iliyofanyika na Taasisi ya kansa duniani (National Cancer Institute 2016)

Aina ya Kansa Makadirio ya Vifo Mapya Makadirio ya Vifo 2016
Kibofu 76,960 16,390
Matiti/Kifua (Female — Male) 246,660 — 2,600 40,450 — 440
Utumbo mdogo 134,490 49,190
Endometriamu (Kizazi) 60,050 10,470
Kibofu 62,700 14,240
Leukemia (Aina zote) 60,140 24,400
Mapafu 224,390 158,080
Ngozi (Melanoma) 76,380 10,130
Damu (Lymphoma) 72,580 20,150
Kongosho (Pancreatic) 53,070 41,780
Tezi Kibofu (Prostate) 180,890 26,120
Dundumio (Thyroid) 64,300 1,980



CHANZO CHA UGONJWA WA KANSA



Kuna vyanzo vingi vya ugonjwa wa kansa, viashiria vinavyoweza kuharibu seli na kujiunda mwilini kwa kasi huweza sababishwa na mazingira pamoja na mitindo ya maisha, hivyo vyanzo ni pamoja na;

  1. Kemikali au Sumu kuingia mwilini: Huingia kwa mifumo tofauti kama chakula, hewa, vimiminika. Kemikali zenyewe ni kama Benzene, asbestos, nickel, cadmium, vinyl chloride, benzidine, N-nitrosamines, Sigara au tumbaku (huwa na kemikali zaidi ya 66 zinazofahamika kama kemikali za carcinogenic na sumu), asbestos, na aflatoxin
  2. Mnururisho au Mionzi hatari (Ionizing radiation): Uranium, radon, ultraviolet kutoka kwenye miale ya jua, mnururisho (radiation) kutoka kwenye alpha, beta, gamma, na mionzi ya X-ray
  3. Magonjwa yanayoambatana na Virusi na bacteria
  4. Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
  5. Kuvuta sigala
  6. Kukaa sehemu kwa mda mrefu bila kuufanyisha kazi mwili
  7. Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari nyingi na vyenye kemikali nyingi
  8. Utumiaji wa vinywaji hatari; pombe, vyenye kemikali

DALILI ZA UGONJWA WA KANSA



Dalili hutofautiana kidogo kulingana na aina ya kansa, ila hulingana baadhi ya tabia kwakua zote huwa ni seli zisizohitajika mwilini na kuzaliana mwilini na kusambaa, baadhi ya hizo dalili ni;


pp1pdfglddubus7rxgvt




  1. Uchovu au kinyong’onyo
  2. Kuwa na mabonge au nundu au uvimbe mwilini hasa sehemu iliyoathirika hasa kwenye ngozi
  3. Uzito kubadilika bila mpango hasa kupungua uzito, kuongezeka ni asilimia ndogo
  4. Ngozi hubadilika; yaweza kubadilika rangi kuelekea unjano kiasi, weusi, wekundu kiasi, na ngozi kutokuwa na hisia
  5. Mkojo na choo kubadilika
  6. Kikohozi cha mda mrefu na kupata maumivu au shida wakati wa kupumua
  7. Kupata shida au kushindwa kumeza chakula
  8. Kubadilika kwa sauti
  9. Kupata homa isiyoeleweka na kutokwa na jasho usiku
  10. Kutokwa na michubuko na kutokwa na ndamu
  11. Kuwa na maumivu ya misuli na viungo yasioeleweka
  12. Waweza pata tatizo la mmeng’enyo na kusumbuka baada ya kula

JINSI YA KUEPUKANA NA  UGONJWA WA KANSA


  1. Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku
  2. Usile vyakula vyenye kemikali nyingi, mafuta mengi na sukari nyingi
  3. Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol)
  4. Balansi usito wako
  5. Usitumie sigara
  6. Punguza au acha kunywa pombe
  7. Punguza mawazo
  8. Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali
  9. Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi

TIBA YA MAGONJWA YA KANSA



Ugonjwa wa Kansa unatibika kwa hali tofauti, pia kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakikata tamaa na kuwa wabishi, hii hufanya wengi kufa kutokana na kuto kuwa makini na kile tunacho waeleza. Wakati huo wengi huendelea kutumia dawa pamoja na vitu vyenye kemikali na hii hufanya wengi kuendelea kuumwa zaidi. Tiba zinazotumika pamoja Kemikali kali (chemotherapy), mionzi (radiation), au upasuaji (surgery).

Tuna dawa ya kutibu Ugonjwa wa Kansa ambayo ni ya asili KWA 100% Na isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa. Hizo dawa zinaondoa ugonjwa kabisa kama ukifuata maelekezo yanayotolea.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.


 

KULA VIZURI & ISHI VIZURI

mbochi herbal life

What Do You Eat After Bariatric Surgery? – Penn Medicine



MAWASILIANO

MBOCHI HERBAL LIFE

mbochiherballife646@gmail.com

Mob +255757349219


Tiba Asili Ya Saratani Andaa nyumbani. | Uhai Wako Ni Muhimu Sana ...









Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...

TIBA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Shinikizo la juu la damu Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu , HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya. Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi. Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mish...