![]() |
| Maumivu ya masikio |
Hiko hivi kwa mwenye tatizo la sikio kuvuja usaha
tumia dawa aina zifuatazo
1.MAFUTA YA KONDOO
2.MAFUTA YA NDIMWAI
3.MAFUTA YA SIMBA na
4.MAFUTA YA TEMBO
tumia dawa aina zifuatazo
1.MAFUTA YA KONDOO
2.MAFUTA YA NDIMWAI
3.MAFUTA YA SIMBA na
4.MAFUTA YA TEMBO
Matumizi yako hivi kwa dawa hizi mpendwa
1.mafuta ya kondoo--tumia kutwa 1×2 kwa siku kwani ni mafuta yanayo safisha masikio vizuri pia ufyonza uchafu Wa sikio

2.Mafuta ya ndimwai-- mafuta haya utokana na asili ya TUMBUSI na MBUKANDA utumika kufungia mazizi ya mifugo,nyumba pia mwili Wa MTU.!
Aya mafuta utumika kuziba jino lililotoboka na kutoa arufu,mafuta haya uziba na kuondoa arufu ya kinywa pia kusafisha mapafu,tumia pia pia kwa sikio linalo toa usaha na kuuma ukausha usaha na sikio kupona tumia 1×3 kwa siku

3.Mafuta ya tembo --- aya nayo uzibua ngoma kwa araka ni vema ukapata safi grade one
4.Mafuta ya simba
Aya ni mafuta mazuri kwa masikio yalio ziba pia masikio yalio ingia mafuta ya taa,masikio mazito nk

KWA MWENYE MASIKIO KUUMA MARA KWA MARA NA KUFANYA KICHWA KUUMA
Uyu atatumia dawa aina ya CHUNGA,
Chunga mpendwa hii ni aina ya mboga ya majana ni safi sana kwa mtumiaji atakae ipika kwa ufuta,uongeza nguvu mno katika mwili pia uhuwa sumu nyingi mwilini ni nzuri sana kwa wana ndoa
!!
Lakini twende kwenye yetu mada juu ya Sikio kuuma
Tafuna chunga au ponds kwa viganja kisha weka matone 2 kwenye sikio kutwa 1×2 kwa Siku__________

Mbochi herbal life-mhl
Mbochiherballife646@gmail.com
Mob no.0757349219
Mbochiherballife646@gmail.com
Mob no.0757349219

Maoni