Ruka hadi kwenye maudhui makuu

KULEGEA KWA TUPU YA KIKE NA NAMNA YA KUIFANYA TUPU KUWA NDOGO (KUIBANA TENA)

Female Reproductive System Diagram 
Mpendwa Wa MBOCHI HERBAL LIFE-MHL
Habari yako,yetu Imani umzima Wa afya aliyo tujalia MWENYEZI MUNGU,furaha yangu ni kukupa mada hii isemayo NAMNA YA KUIFANYA TUPU KUWA NDOGO (KUBANA) Tumia bidhaa ya MHL.
Kumekuwa Na kesi nyingi mno za namna hii Na kuwa Fanya wanawake wengi kutokufuraiya ndoa zao ndani,Na hatimae waume kuamua kula nje kwa madai yakuwa wake zao awajui kitu.? Kumbe siri hipo hapo kwenye uke kulegea Na kupoteza ladha kwa wana ndoa
Tatizo hili la kulegea kwa misuli ya sehemu za uzazi za mwanamke (Vagnal) ufaamika kwa jina la Vagnal prolapsed ambalo huwatokea zaidi wanawake Wa umri kuanzia 55/70 nakuendelea
Japo mabinti Wa umri kuanzia miaka 23/45 nao upatwa Na tatizo hili la kutanuka Na kulegea kwa mishipa ya uk**
HADHARI ZA KULEGEA KWA UKE
Mpendwa kulegea kwa tupu ya kike kuna utofauti Na kutanuka kwa misuli hiyo,tukizungumzia kulegea INA maana misuli ya ukeni inashindwa kubana Na kuachia njia,hapa misuli inayoachia njia inapolegea hata ukichuchumaa unaweza kuhisi haya
*Nyama Nyama ndani ya uke kujaa Na uke kuwa mzito wakati Wa tendo la ndoa
*Kulegea uku utokana Na mwanamke kupata uzazi Wa karibu karibu
*Kupata maradhi ya vichocheo vya Hormones
*Kupwaya nako ufanya mkojo kutoka wenyewe
*Kushindwa kubana mkojo kwa muda mrefu
*Kila wakati kuisi kupata haja kubwa/ndogo
*Uendapo haja utoka kidogo kidogo
*Kuisi kizazi kinasogea/kushuka
*Ukikojoa mkojo hauishi mapema
*Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
*Maumivu ya nyonga
*Kukosa hamu ya tendo la ndoa
*Kutofika kileleni kila ushirikipo tendo la ndoa
*Kutokujua ladha ya tendo la ndoa
JE.? VIPIMO VYA UKUBWA NA UDOGO WA UK* UWEJE
Je.? Vipimo sahii vya uke wa mwanamke akiwa Relaxed ni inches Ngapi.?
Mwanamke akiwa Relaxed urefu Wa uke ni wastani Wa Cm 8 1/2 (8.5) hadi Cm 10 wakati kipenyo ni chini ya Cm 3 akiwa amesusimka uke hupanuka na kuwa na Cm 13/15 wakati kipenyo huwa Cm 3/6
Na wakati Wa kujifungua uke uwa Na urefu upatao Cm 20/23 Na kipenyo chake ni Cm 3/5 wanawake walio wengi wanapenda kuwa Na uke mdogo Na mnato,je.! Ni namna gani unaweza kuwa hivyo unavyotaka uwe Na uke unaobana Na mnato.
Uk* ukiwa mdogo/mnato husaidia kuleta raha kwa mume Na mke wakati Wa Sex,kwani mwanamke uweza kufika kileleni vizuri,maana upata msuguano mzuri maana kuta ubana Na kushika uume, pia misuli ya tupu usisimka vizuri Na kupandisha Hashki ya mwanamke kuwa juu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

YOU HAVE A BRIGHT FUTURE. IF YOU WILL GIVE YOUR EARTHLY LIFE TO JESUS

https://mbochiherbal.blogspot.com But if you contract HIV you need to think through what you need to change in your life and then set to work to rebuild your immune system

WATU WA KALE WALIAMINI TANGAWIZI NI TIBA ZAIDI MAANA ILITIUBU MARADHI 28

WATU WAKALE WALITUMIA ZAO LA TANGAWIZI KAMA TIBA KWA KUTIBU TAKRIBANI MAGONJWA 28 NA 100% WALIPONA Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi. Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula. TANGAWIZI NI TIBA KUBWA IKITUMIWA VEMA Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis) KWENYE ELIMU YA KALE WALITUMIA TANGAWIZI KUJENGA AFYA Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi: Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba: 1. kuondoa sumu mwilini Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayo...

TIBA YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

Shinikizo la juu la damu Shinikizo la juu la damu (HTN) au presha ya juu ya damu (pia huitwa shinikizo la mishipa ya damu , HBP), ni ugonjwa sugu ambapo nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ni kubwa kuliko kawaida. Ongezeko hilo husababisha moyo kufanya kazi kupita kiasi ili uzungushe damu katika mishipa ya damu. Kwa kawaida halina dalili, ila likidumu lina madhara makubwa kwa afya. Shinikizo la juu la damu ndilo sababu kubwa (kihatarishi) ya upoozaji, mshtuko wa moyo (mashambulizi ya moyo), moyo kushindwa kufanya kazi, kutuna kwa ukuta wa mishipa (k.m., kutuna kwa ukuta wa aota au mkole), chujio la mshipa wa kupeleka damu kwenye moyo au peripheral arterial disease, na inasababishwa na ugonjwa sugu wa figo. Hata ongezeko la wastani la shinikizo la damu hupunguza matarajio ya muda wa kuishi. Kuna vipimo viwili vya shinikizo la damu, yaani systolic na diastolic: shinikizo au presha ya systolic ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu katika mish...