Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

SARATANI YA MATITI (Breast Cancer)

  Saratani ya Matiti (Breast Cancer)   DR Herbalist Thobias Beda   SARATANI (KANSA)    MAONI! TUNA TAKA MTU ANASEMA ANA NDUGU AU YEYE AMEOZA KWA KIDONDA CHA KANSA KABISA  Na tutamtibu kea siku tatu tu? Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum. Saratani ya matiti hutokea kwenye titi ambalo kwa kawaida lina sehemu ya kutengeneza maziwa ijulikanayo kama lobules na aina fulani ya mishipa inayounganisha hizi lobules na chuchu za titi. Sehemu kubwa iliyobakia ya matiti inajumuisha mafuta na tishu ambazo kitaalamu tunazoita connective and lymphatic tissue. Saratani ya matiti inayotokea kwenye lobules huitwa lobular carcinoma na ile inayotokea kwenye ducts huitwa ductal carcinoma. Baadhi ya saratani ya matiti zinaongeza ukubwa kutokana na kuwa na vishikizi aina ya receptors zinazojulikana kama estrogen receptors kwenye seli zao ambazo husababisha ukuaji wa saratani ya matiti. Kuna wanawake...

TIBA YA KIASILI JUU YA MOYO MPANA

NI NINI HUSABABISHA MOYO KUPANUKA (Cardiomegaly) NA JINSI MOYO UTIBIWA KWA WIKI MOJA KWA TIBA MBADALA Herbalist Thobias Beda CEO | MD - Imeandikwa na Herbalist Thobias Beda - Iliyasasishwa mnamo February 1, 2021 MOYO ULIOPANUKA NI NINI? Moyo uliopanuliwa (cardiomegaly) inamaanisha kuwa moyo wako ni mkubwa kuliko kawaida. Moyo wako unaweza kupanuka ikiwa misuli inafanya kazi kwa bidii hadi inene, au ikiwa vyumba vinapanuka. Moyo uliopanuka sio ugonjwa. Ni dalili ya kasoro moyo au hali ambayo inafanya kazi moyo mgumu, kama vile cardiomyopathy , matatizo ya moyo valve , au shinikizo la damu . Moyo uliopanuka hauwezi kusukuma damu kwa ufanisi kama moyo ambao haujapanuliwa. Hii inaweza kusababisha shida kama kiharusi na kupungua kwa moyo . DALILI Ni NINI? Wakati mwingine moyo uliopanuka hausababishi dalili yoyote. Wakati dalili zinatokea, zinaweza kujumuisha: kupumua kwa pumzi dansi ya moyo isiyo ya kawaida ( arrhythmia ) uvimbe kwenye miguu na vifundoni unaosababishwa na mkusanyiko wa maji...

UNENE ULIOPITILIZA

  Unene Uliopitiliza (Obesity) Tatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity) Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni mnene kupita kiasi (obese) inafahamika kama kipimo cha Body Mass Index (BMI). Vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha kama unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu na uzito wako. Vipimo hivi ni kama ifuatavyo: Jinsi ya kupima BMI yako Kanuni ya BMI hutumia uzito wa mtu pamoja na urefu wake. Uzito wa mtu hupimwa katika kilograms (kg) na urefu wake katika mita (m) au sentimita (cm). Ikumbukwe pia kuwa mita moja ni sawa na sentimita 100 na mita² = mita x mita. Category BMI range – kg/m2 Emaciation less than 14.9 Underweight from 15 to 18.4 Normal from 18.5 to 22.9 Overweight from 23 to 27.5 Obese from 27.6 to 40 Morbidly Obese greater than 40 BMI (kg/m2) = Uzito katika kilograms/Urefu katika meters². Maana yake ni kwamba...

LOW OR LOSS OF SEXUAL LIBIDO

  Kupungua au Kukosa Hamu ya Kufanya Mapenzi (Low or Loss of Sexual Libido) Matatizo ya kukosa au kupungua hamu ya kujamiana yanatambulika kama tatizo linalojirudia kwa muda mrefu ambapo huathiri mzunguko wa tendo la kujamiana (kusisimka, kufikia kilele, kurudia) na hivyo kusababisha msongo wa mawazo au kuharibu uhusiano kati ya mtu na mwenza wake. Katika makala hii, mwandishi wako DkThobiasBedavitu vinavyoweza kusababisha tatizo hili na jinsi ya kuliepuka. Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi ni suala linaloonekana kuathiri wenza wengi. Jamii imeshuhudia visa vingi vinavyosababishwa na mwenza mmoja kutoka nje ya ndoa au uhusiano kwa kisingizio cha kutoridhishwa na utendaji wa mwenzake katika suala la kujamiana. Kadhalika jambo hili limesababisha kuvurugika kwa ndoa nyingi na wakati mwingine kusababisha magonjwa au hata vifo kwa mmoja au wenza wote wawili. Lakini nini hasa sababu ya kuwepo kwake? Kwa ujumla visababishi vya tatizo hili kwa wanaume na wanawake ni pamoja na mson...

MAGONJWA YA ZINAA

  Ugonjwa wa Trichomoniasis ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya jamii ya protozoan vinavyojulikana kama Trichomonas vaginalis. Ugonjwa huu huathiri mrija wa kupitisha mkojo unaojulikana kama urethra na tupu ya mwanamke (vagina). Trichomoniasis pia hujulikana kwa majina mengine kama Trichomonas vaginitis au Trich (tamka “Trick”). Trichomoniasis huathiri watu milioni 8 kwa mwaka Nchini Marekani na watu milioni 170 kwa mwaka dunia nzima. Ugonjwa huu huonekana sana kwa wanawake kuliko wanaume labda kutokana na wanaume kutoonyesha dalili zozote wakati wa maambukizi au kutokana na majimaji ya kwenye tezi dume kuwa na madini ya zinc ambayo huathiri vimelea hivi vya Trichomonas vaginalis. Ugonjwa huu hupatikana kwa njia ya kujamiana bila kutumia kinga na mtu aliyeathirika na Trichomoniasis. Nakumbuka mwanajumuiya mmoja wa TanzMed aliuliza swali na hapa naomba ninukuu “madaktari, poleni na kazi za kila siku. mimi nina tatizo napata sana hizi yellowish discharge au niseme kama rangi ya ...