SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI TAKWIMU ZINASEMA HIVI ; Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake wengi duniani. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya vifo hivi hutokea katika nchi zinazoendelea. Kwa Tanzania, wastani wa wanawake 6,241 huugua saratani hii kila mwaka, ambapo 4,355 kati yao hufa, hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani (W.H.O) ya mwaka 2010 Saratani ya shingo ya kizazi ndio saratani ya kwanza kwa wanawake nchini Tanzania, na Saratani namba moja kwa wanawake walio kati ya umri wa miaka 15 hadi 44. Tanzania ina wanawake milioni 10.97 walio na umri wa miaka 15 na kuendelea, ambao wako kwenye hatari kubwa ya kupata saratani hii. Kwa afrika mashariki, asilimia 33.6 ya wanawake wote, wanasadikiwa kuwa na virusi aina ya human papilloma virus ambavyo ndio visababishi vya ugonjwa huu. Je nini kinasababisha saratani ya shingo ya kizazi? Maambukizi ya human papilloma virus ndio yanayosababisha saratani ya shingo ya ...
MBOCHI HERBAL It's a well recognized, Centre for treatment of all- Infectious disease Like Complicated TB,DIABETES, STD-AIDS,P.I.D,CANCER,INFERTILITY,hepatitis AND KIND OF FEVERS